• Mpendwa, Wizara inapenda kuelekeza shule zote za Msingi na Sekondari zitakazofunguliwa kuanzia tarehe 29/06/2020 kuhakikisha wanazingatia maelekezo yote kuhusu kujikinga na Virusi vya Corona.

Habari, Matukio na Hoja

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako.