• Mpendwa, Wizara inapenda kuelekeza shule zote za Msingi na Sekondari zitakazofunguliwa kuanzia tarehe 29/06/2020 kuhakikisha wanazingatia maelekezo yote kuhusu kujikinga na Virusi vya Corona.

HESLB

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Higher Education Students' Updates and News