• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Recent content by Edgar Mbele

 1. Edgar Mbele

  MBINU ZA KUJIFUNZA ENGLISH KWA URAHISI NA HARAKA

  Kwa uzoefu wangu wa kujifunza na kuweza kutumia lugha nne tofauti yaani Spanish, English, Zulu na Xhosa nimejifunza kuwa kuna mambo ambayo yanarahisisha sana namna ya kujifunza lugha. Hivi karibuni nilitumia mbinu hizo kujifunza lugha ya Spanish kwa miezi mitano tuu. Pia kama mwalimu binafsi wa...
 2. Edgar Mbele

  Sheria ya Familia

  Sheria za familia ni sehemu za sheria ambazo zinahusika na masuala ya familia na mahusiano ya ndani ikiwa ni pamoja na: Asili ya ndoa, vyama vya muungano, na ushirikiano wa nyumbani; Masuala yanayojitokeza katika ndoa, ikiwa ni pamoja na dhuluma, uhalali, watoto, na dhuluma kwa mtoto. Kikomo...
 3. Edgar Mbele

  HAKI ZA BINADAMU

  Haki za Binadamu ni nini? Hizi ni haki ambazo mtu anazipata mara tu anapozaliwa, na anaendelea kuwa nazo hadi kifo chake. Kwa maneno mengine, kitendo cha kuzaliwa ukiwa mwanadamu na si kiumbe kingine kinakupa moja kwa moja haki fulanifulani ambazo viumbe vingine havina. Kwa hiyo, haki za...
 4. Edgar Mbele

  SHERIA YA MADHARA: MAELEZO NA UFAFANUZI

  Madhara ni matokeo hasi yanayompata mtu au kitu au mali kutokana na kitendo kilichofanywa na mtu mwingine au kilichotokea kutokana na mtu Fulani kushindwa kutimiza wajibu na kutokana na madhara hayo mtu aliyepata madhara anastahili kupata fidia. Ili kupata fidia kutokana na madhara tajwa hapo...
 5. Edgar Mbele

  Je, Mtoto Wa Nje Ya Ndoa Ana Haki Ya Kurithi?

  Mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi, isipokuwa tu kama ametajwa na kugawiwa fungu katika wosia wa marehemu.
 6. Edgar Mbele

  Je, Nini Maana Ya Urithi?

  Urithi ni mali na madeni anayoacha mtu baada ya kifo chake kwa ajili ya watu ambao wanastahili kumiliki mali na madeni hayo kwa mujibu wa sheria.
 7. Edgar Mbele

  FAHAMU MIFUMO MINNE YA BIASHARA UNAYOWEZA KUIFANYA KWA MTAJI MDOGO

  Hongera kwa nafasi hii nzuri sana ya leo, ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa katika kuelekea kwenye mafanikio yetu. Safari yetu ya mafanikio haijanyooka, zipo changamoto na vikwazo vingi ambavyo vimekuwa vinawazuia watu wengi kufanikiwa. Leo tunakwenda kuangalia changamoto...
 8. Edgar Mbele

  jinsi ya kujitoa kama simu yako imeunganishwa sehemu nyingine (hacked)

  Hiyo inaweza ikawa umeunganishwa katika Call forwarding / call divert. nitakuonyesha namna ya kujiondoa, tafadhali akikisha unasoma mpaka mwisho kabla ya kufanya chochote. Call forwarding / divert call forwarding ni kipengele ambacho kipo katika settings za simu yako ambacho kimewekwa makusudi...
 9. Edgar Mbele

  JINSI YA KUHACK SMS

  JINSI YA KUHACK SMS Habari, leo tutajifunza jinsi ya kuhack SMS. Kuna sababu nyingi za kuhack SMS. Pengine upo katika uhusiano lakini unadhani mpenzi wako anakudanganya Unawezaje kujua? Ungana nami mwanzo hadi mwisho ili kujua jinsi ya kuhack SMS. Hatua: Pakua SMS BOUNCER kwenye simu...
 10. Edgar Mbele

  Je, Unahitaji kusikia Maongezi ya Mpenzi wako anapopigiwa Simu na Mchepuko wake bila yeye kujua?

  Wakati mwingine Unakuwa mbali na mpenzi wako na hujui huwa anazungumza nini na jamaa kwenye simu, labda huenda huwa anakudanganya, Sasa ni rahisi sana kufatilia na kusikia mazungumzo yao bila yeye kufahamu lolote. Calls zote au Meseji za Simu ya mkononi ya mtu, unaweza kuzipata kwa kutumia...
 11. Edgar Mbele

  JINSI YA KU-HACK/KUDUKUA SIMU YA MTU WAKO WA KARIBU NA KUPATA SMS ZAKE ZOTE PAMOJA NA CALL HISTORY.

  Habari… Katika tutorial hii ningependa kukuelekeza ni jinsi gani unaweza kudukua/ku-hack simu ya mtu wako wa karibu (mpenzi, rafiki, mwanao nk) bila ya mwenyewe kujua. Copy9 app ndio app unayoweza kufanikisha yote hayo, itakupatia SMS, call history, GPS history bure kabisa, pamoja na sms kutoka...
 12. Edgar Mbele

  TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA TAMISEMI KUJIUNGA NA CHUO CHA MAJI MWAKA WA MASOMO 2020/2021

  WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA NA SERIKALI KUPITIA TAMISEMI KUJIUNGA NA CHUO CHA MAJI, MNATAARIFIWA KUFANYA UTHIBITISHO KUPITIA KIUNGANISHI KINACHOITWA UTHIBTISHO TAMISEMI KATIKA TOVUTI YA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI AMBAYO NI www.nacte.go.tz ILI KUKUBALI KUCHAGULIWA KATIKA CHUO CHA MAJI.
 13. Edgar Mbele

  TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI, MSINGI NA SEKONDARI MWAKA WA MASOMO 2020/2021

  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha NNE na SITA wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara...
 14. Edgar Mbele

  Huyu Ndio Mwanamke

  noma sana
 15. Edgar Mbele

  Alichokisema Magufuli baada ya kumpigia simu Zitto

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amempigia simu mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe, kwa lengo la kumjulia hali na kumtakia heri ili apone haraka, baada ya hapo jana kupata ajali ya gari na kupata majeraha kadhaa. Kushoto ni Rais Dkt John Magufuli na...