• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Aina za Ajira ambazo Hazitaji Cheti bali Maujanja Yako ndo Yatakayokubeba

#1
Nilikuwa kuna sehemu napitia mtandaoni nikakutana aina kumi za ajira ambazo hazitaji cheti bali ni ujanja wako wa kujiongeza

1. Events planning and marketing

2. Freerancer marketer

3. Graphics design

4. Market research

5. Video productions

6. Data collector

7. Entertainment coordinator

8. Sales agency

Kama kuna zingine unafahamu tupia hapa