• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

#1Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha, Alimuacha mke wake na mtoto wake mmoja, huko alikaa miezi miwili na baada ya kurudi tuu alimtilia mashaka mke wake kuwa amehamisha penzi kwa mwanamume mwingine na alipofika tuu mke wake alimpeleka kupima mimba.Baada ya kufanya kipimo, mimba kama ya wiki tatu ilionekanajamaaa alikosa nguvu na baada ya hapo kaja kwangu kuomba ushauri na mimi nimemwabia tu kitanda hakizai haramu