• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Je, Askari Polisi Anatakiwa Kutoa Au Kutumia Silaha Katika Kumkamata Mtuhumiwa?

#1
Askari polisi au mtu yeyote anayekamata mtuhumiwaharuhusiwi kutumia nguvu au/na silaha dhidi ya mtuhumiwa Zaidi ya kuhakikisha kuwa hatoroki.