• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Je, Unahitaji kusikia Maongezi ya Mpenzi wako anapopigiwa Simu na Mchepuko wake bila yeye kujua?

Edgar Mbele

Moderator
Staff member
#1
Wakati mwingine Unakuwa mbali na mpenzi wako na hujui huwa anazungumza nini na jamaa kwenye simu, labda huenda huwa anakudanganya, Sasa ni rahisi sana kufatilia na kusikia mazungumzo yao bila yeye kufahamu lolote. Calls zote au Meseji za Simu ya mkononi ya mtu, unaweza kuzipata kwa kutumia program moja inayoitwa Spy mobile phone technology. Programu hiyo inapakuliwa na kuhifadhiwa kwenye simu na inaruhusu namba ya mmoja kuingiza kwenye mtandao. Kutoka hapo basi unaweza kusikia Calls zote zinazopigwa kwenye hiyo namba uliyoingiza kwenye mtandao.Vile vile wakati mtu anapata au anapeleka ujumbe, huwa unatumwa kwenda chama cha tatu (third party), Aidha program inaweza kumpata wapi mtu bila yeye kujua. Ni matumizi ya teknolojia maarufu ya GPS na inaonesha eneo juu ya satellite ya Kurasa ya mtandao. Juu zaidi program inaweza kuanza kurekodi simu ambazo hazipo hewani. Kwa njia hii ni kumbukumbu ya mazungumzo ya mtu mfano ya matusi na inahifadhi kewenye kompyuta. Baadae unaweza kusikia yote. Teknolojia hii inaweza kutumika na wazazi ambao wanataka kuweka watoto wao chini ya uangalizi mara kwa mara. Wenye ndoa wanaweza pia fanya hivyo katika harakati za kuibiwa au Michepuko. Aidha askari wa upelelezi unaweza kuitumia pia ili kumpata mtuhumiwa kiurahisi.