• Mpendwa, Wizara inapenda kuelekeza shule zote za Msingi na Sekondari zitakazofunguliwa kuanzia tarehe 29/06/2020 kuhakikisha wanazingatia maelekezo yote kuhusu kujikinga na Virusi vya Corona.

Je unajua nini kuhusu Programming?

James Kaguo

Software Engineer
Staff member
#1
Mimi ni James Kaguo. Software Engineer ninaishi Tanzania. Kwa wanachuo wengi hawana elimu sahihi juu ya Programming ila kabla ya yote ninge penda jua mnajua nini juu ya programming?