• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Jinsi ya kutumia Memory kadi kama internal storage katika simu yako

#1

Simu yako inawahi kujaa kutokana na memory yako ya ndani ya simu(Internal memory) kuwa ndogo?
Leo nitakuonesha namna ya kutumia memory yako ya nje (External memory) kama sehemu yako ya kwanza kutunza Apps, videos na vitu vingine.
Uwa inakera sana pale unapotaka kuongeza kitu katika simu yako na kupokea ujumbe kuonyesha hauwezi kuongeza kitu kutokana na simu yako kujaa.
Hapa nitakuonesha namna ya kutumia memory card kuhifadhi vitu vyako na kumaliza tatizo la mara kwa mara la kuja kwa simu yako. Nirahisi, fuata hatua zifuatazo:-
Hatua
  1. Weka memory card katika simu yako
  2. Subiri kwa sekunde kadhaa
  3. Nenda katika settings za simu yako
  4. Tafuta na bonyeza sehemu ya storage
  5. Kisha unatakiwa ubonyeze SD Card (External Storage)
  6. Bonyeza OK kuifanya iwe Default Write Disk
  7. Hapo utakuwa umemaliza.

Kama simu yako ina Apps chache kila ukitaka kuinstall App nyingine inaonesha kama simu yako imejaa “No Enough Space”, “Free Up SpaceBonyeza hapa.