Kamati Kuu Tendaji ya Tahliso (Excom) inayoongozwa na Ndg. Peter Niboye Ambaye ni Mwenyekiti wa Tahliso yakutana Leo Mkoani Dodoma kujadili na Kutengeneza Mpango Kazi wa Mwaka (Action Plan) .
Kikao hicho cha Kazi kilihudhuriwa pia na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh. Patrobas Katambi ambaye alifundisha mada ya Uongozi na Uzalendo.