• Mpendwa, Wizara inapenda kuelekeza shule zote za Msingi na Sekondari zitakazofunguliwa kuanzia tarehe 29/06/2020 kuhakikisha wanazingatia maelekezo yote kuhusu kujikinga na Virusi vya Corona.

Kenya wasalimu amri, Waruhusu ndege za Tanzania kutua kenya

#1
Waziri wa Uchukuzi wa Kenya James Macharia amesema anga la Kenya limefungulia rasmi leo baada ya kufungwa kwa zaidi ya miezi mitatu kupisha corona huku akisema hawajazuia Ndege za Tanzania kuingia Kenya ila walikuwa wanaweka sawa tu masuala ya Kiitifaki.

“Tumemaliza sintofahamu ambayo imetokea, tunaamini kabla ya siku haijaisha leo Watanzania wataanza kuingia Kenya na wao wataturuhusu kwenda kwao, hatukuwahi kuzuia Ndege zao wala wao hawakuwahi kutuzuia ni matatizo madogo tu yalitokea”-WAZIRI MACHARIA
(
via Citizen)

ÑB.serikali ya awamu ya tano haijaribiwi,wakenya kuweni makini