• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Misuko mipya ya Nywele 2020 PART 1

#1
Wanawake wengi wa kiafrica hupenda kusuka nywele mbalimbali lakini wengi wao sikuhizi hupenda kusuka mtindo ujulikanao kwa jina la yeboyebo ,mtindo huu hutumia rasta zaidi ili kuweza kuwa na mvuto


.Mtindo huu husukwa sana na watu wote kwa kuwa umeonekana hauna madhara kwa mtu yeyote wakiwemo wadada,wamama, pamoja na watoto


Msusi wa yeboyebo hutumia masaa mawili au moja na nusu kuweza kummaliza mteja wake kwani kuna baadhi ya misuko mingine huchukua zaidi ya masaa manne kuweza kukamilika .


Yeboyebo imeonenekana kushika chati kwa kwa kasi kwani wanawake wengi husuka msukohuo tofauti na misuko mingine .