• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Sekeseke La Mama Wema Sepetu Na Manfongo Lamripukia Soud ‘Mbea”

#1
Naamini jina Wema Sepetu ni maarufu sana miongoni mwa watu. Pia mama Wema amekuwa akigonga vichwa vya Habari mara kadhaa.

Soud ‘Mbea’ alijikuta anaingia choo cha wazee mara baada ya kutaka kudadisi ukweli ulikuwepo kutokana na sekeseke la Manfongo na Mama Wema Sepetu.

Makasa huu ulichukua sura mpya pale Mama Wema alipoamua kumtolea uvivu Soud Mbea. Soud alimpigia simu Manfongo naye akaeleza upande wake wa shilingi. Kama ilivyo kwa wambea wengi huwa wanatafuta uwiano wa umbea kwa kusikiliza pande zote zinazohusika.

Ndipo Soude Mbea alipopata ujasiri wa kumtafuta mama yake na Wema Sepetu. Kilichompata hiki hapa, sikilza mwenyewe.