• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Wanachuo

Verified ✓
Staff member
#1
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo. Dondosha zako Kama pia.