• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

Ukiwa Na Demu Wa Hivi Lazima Upate Vichomi

#1
Jamaa mmoja alipigwa na homa kali ya malaria mpaka akalazwa. Akiwa hospitali hali yake ilianza kuimarika.

Habari zikamfikia demu wake kupitia mashoga zake kuwa msela wake anaumwa na kalazwa hospitali.

Baada ya muda mchache, yule jamaa akapokea ujumbe mfupi;

Demu: Hello baby! Uko wapi? Kwako sijakukuta.

Jamaa: Nipo hospitali ya rufaa hapa Muhimbili nimelazwa.

Demu: Pole sana baby! Nirushie nauli na hela ya matunda nije nikuone.

Nyie wadada Mungu anawaona!!!!