• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

UNGEKUWA BABA WA HUYU MTOTO UNGEMFANYAJE

Edgar Mbele

Moderator
Staff member
#1
UNGEKUWA BABA WA HUYU MTOTO UNGEMFANYAJE?
baba : niletee soda we mtoto
mtoto : pepsi or coka?
baba : pepsi
mtoto : ya kopo ya chupa?
baba : ya kopo
mtoto : ya baridi or yamoto?
baba : hee! we mtoto mbona maswali mengi....basi
bwana ni letee maji tu
mtoto : ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
baba : ya hapa hapa
mtoto : ya baridi ya moto?
baba : ya baridi
mtoto : kwenye glasi or kikombe?
baba : ntakupiga na ufagio we mtoto
mtoto :ufagio wa chelewa or wa mti?
baba : ntakuuwa we mtoto
mtoto : uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na
bastola?
baba :ntakupiga na bastola
mtoto : kichwani or tumboni?
baba : kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
mtoto : saivi au baadae kidogo?
baba : sasa ivi
mtoto : maji hutaki?