• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

UTANI;Jinsi Makabila yanvyotajwa kwa ufupi wake

#1
Ukikaa Uchagani utaskia kifupi chake ni CHAGGA TRIBE
Ukienda kule upareni utaskia PARE TRIBE
Ukienda kule Daslam utaskia ZARAMO TRIBE
Ukija kwa akina mgosi utaskia SAMBAA TRIBE
Ukienda kule iringa utaskia HEHE TRIBE
Vp wale wenzetu Wa Kule usukumani tutataja VP kifupi cha kabila lenu