• Mpendwa, Jiunge na Jamii ya Wanafunzi Kwa Kujisajili au Login Kama Tayari ni Member. Endelea Kuchangia Mada, Kuanzisha Mijadala Mbalimbali na Ujishindie Zawadi kutoka kwetu. Kama Simu, Laptop, Vocha na Nyinginezo Nyingi.

WOLPER KAFUNGUKA MZIKI WA BONGO KUTO PIGWA CLUB

#1
Msanii Kutoka Kwenye Kiwanda Cha Bongo Movie @wolperstylish Ametoa Maoni Yake Kwa Jinsi Anavyohisi Kwanini Inakua... more


dar_hoodtz @niitemacko hehe umenichekeshe ni baadhi ya wabongo wanaishi nje tunapenda kuwaita wapopo.. maana hao wahawali na ni... more

dar_hoodtz @officialismailkipira nimependa hiyo article yako brother kwanzq mie namini hata sisi tupo vinzuri sana ila tunakosa full confident. Na kujielewa tunapenda sanaa shobo maana unajua hata hao wapopo yani wanigeria hata nchi zote za east africa wanawakubali sana watanzania na na hata bongoflever imekuwa kwa kiasi kikubwa tu na tena tunatumia swahili na ndio inafanya mziki wetu kuwa special zaidi...wao kujipendekeza kote mbona wao hawaonyeshi ku appreciate or kusupport